Haji Manara Ametukanwa Mara Nyingi Kwaajili Ya Simba.
Ameipambania Simba.
Amesaidia Kukuza Brand ya Simba.
Amesaidia Kuleta Hamasa Kubwa Za Utani Wa Jadi.
Amepambana Sana Kuifanya Simba Ipende/Itaniwe Na Watani Wake Yanga.
Anaijua Simba Vizuri.
Je, Barbra Kumtuhumu Kuihujumu Klabu Ni Sawa Kweli?
Ikitokea Nafasi Ya Mmoja Kuondoka.
Kati Ya Manara na Babra Ni Yupi Anafaaa Kuwapisha WanaSimba????
from Udaku Special https://ift.tt/36SC1f1
via IFTTT
from mapenzi kitandani https://ift.tt/3Bt4ZjD
No comments:
Post a Comment