Wazazi Wengi Huwakataza Watoto Wao Wasioe Wanyakyusa, Wachaga na Wahaya...Nini Sababu? - Mapenz Wakubwa

Hot

Wednesday, June 30, 2021

Wazazi Wengi Huwakataza Watoto Wao Wasioe Wanyakyusa, Wachaga na Wahaya...Nini Sababu?

Habari wadau.... Topic hapo juu inajieleza huwa najiuliza hili swali bila majibu..coz wazazi wengi huishia kusema tuu nimesema usioe mnyakyusa,mhaya au mchaga..bila kutoa ufafanuzi..kwanini..hebu tujadiliane..kama unafahamu chochote kuhusu makatazo Haya Funguka Hapa Tafadhali. .
By kibona

DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE




from Udaku Special https://ift.tt/37o2Nxq
via IFTTT

from mapenzi kitandani https://ift.tt/3AblHU1

No comments:

Post a Comment