Penzi halfichiki kama chafya unaweza kusema hivyo hii imetokea kwa msanii Lavalava na Lulu Diva baada ya leo Lavalava kuamua kuanika ukweli wa penzi lao kwa kusema kuwa anampenda sana na amekubali kuwa mtumwa kwake.
Mara nyingi penzi la wasanii hawa limekuwa ni la siri sana hata pale vinapovuja video au picha wakiwa kwenye mapenzi mazito huwa wakihojiwa wanakataa lakini Kupitia kwenye ukurasa wake wa instaramu Lavalava ameandika hivi;
Dah Usiku Wajana Ndosijalala Kabisa Lulu Kiukweli Achatu Ifike Mahali Mtu Aweke Wazi Penzi Kikohozi Alijifichi Nakupenda Lulu Bora Niwe Mtumwa Kwako Hakuna Jinsi inaenda Wiki Sasa Hatuelewani Naumia Binadamu Tumeumbiwa Kukosea Hakuna mkamilifu Samahani Sana Narudia Tena Samahani nisamehe Mwenzako Plz 💔
from Udaku Special https://ift.tt/3dvsfTX
via IFTTT
from mapenzi kitandani https://ift.tt/3A8NGnz
No comments:
Post a Comment