Viongozi wa maandamano ya umma ambayo yamedumu kwa siku 3 wametangaza kuwa Mfalme Mswati III ameikimbia nchi na sasa amejificha nchini Afrika Kusini. Waandamanaji wanataka mabadiliko ikiwemo kuruhusu siasa za vyama vingi, na wananchi kuchagua Waziri Mkuu
from Udaku Special https://ift.tt/3hkITqa
via IFTTT
from mapenzi kitandani https://ift.tt/3h0zaXl
No comments:
Post a Comment