Diamond Platnumz Afunguka Haya Kwa Uchungu Baada ya Kukosa Tuzo ya BET - Mapenz Wakubwa

Hot

Monday, June 28, 2021

Diamond Platnumz Afunguka Haya Kwa Uchungu Baada ya Kukosa Tuzo ya BET


Reposted from @diamondplatnumz kupitia tuzo hii nimeona ni kias gani watanzania tuna umoja, upendo na kuthamini vya kwetu...Nawashkuru sana kila mmoja wenu kwa Upendo mkubwa mlionionesha...Nifaraja kuona Dunia inapotaja nchi zenye Wanamuziki bora Tanzania inatajwa, ni jambo la Kumshukuru Mungu....Na naamini wakati mwingine Tutaibeba...nitafarijika kesho na kesho kutwa msanii mwingine pia akiwa katika jambo la kuwakilisha Taifa tumpe nguvu kama mlionipa.... sis ni #SwahiliNation sisi ni Taifa la Waswahili

from Udaku Special https://ift.tt/2TclNKy
via IFTTT

from mapenzi kitandani https://ift.tt/3A3RpTa

No comments:

Post a Comment