Basi lagonga nyumba Mwanza - Mapenz Wakubwa

Hot

Wednesday, June 30, 2021

Basi lagonga nyumba Mwanza





Basi kampuni ya Ulamaa T 330 DGB ililokuwa likisafiri kwenda Arusha kutokea Mwanza limepata ajali alfajiri ya leo kwa kuacha njia na kugonga nyumba eneo la Mkolani darajani Mwanza.

Imeelezwa kwamba ndani ya nyumba hiyo kulikuwa na Watu 6 ambapo hakuna taarifa za kifo bali Majeruhi tu ambao wamepelekwa Hospitali ya Butimba.

Chanzo cha ajali kinaelezwa kuwa ni baada ya Dereva wa Basi kulikwepa gari dogo kulikosababisha gari kuacha njia baada ya kushindwa kulimudu, taarifa zaidi kukujia







from Udaku Special https://ift.tt/3AdyyFu
via IFTTT

from mapenzi kitandani https://ift.tt/3h7bj8m

No comments:

Post a Comment