AL Ahly na Kaizer Chiefs kukutana fainali Ligi ya Mabingwa Afrika - Mapenz Wakubwa

Hot

Sunday, June 27, 2021

AL Ahly na Kaizer Chiefs kukutana fainali Ligi ya Mabingwa Afrika




MABINGWA watetezi, Al Ahly wamefanikiwa kwenda fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya ushindi wa 3-0 dhidi ya Esperance ya Tunisia usiku huu Uwanja wa WE Al-Ahly Jijini Cairo nchini Misri.

Mabao ya Ahly yamefungwa na Ali Maâloul kwa penalti dakika ya 38, Mohamed Sherif dakika ya 56 na Hussein El Shahat dakika ya 60.

Kwa matokeo hayo Al Ahly wanatinga Fainali kwa jumla yaa jumla wa 4-0 kufuatia kushinda 1-0 kwenye mechi ya kwanza Jumamosi iliyopita Tunisia. 

Al Ahly sasa itakutana na Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini ambayo imeitoa Wydad Athletic baada ya sare ya 0-0 leo Johannesburg kufuatia ushindi wa 1-0 Jumamosi iliyopita Morocco.



from Udaku Special https://ift.tt/3dj216K
via IFTTT

from mapenzi kitandani https://ift.tt/3AdTP1M

No comments:

Post a Comment