Mwanamuziki John LEGEND na Mkewe Wapata Pigo Kubwa - Mapenz Wakubwa

Hot

Thursday, October 1, 2020

Mwanamuziki John LEGEND na Mkewe Wapata Pigo Kubwa

 


Familia ya Mwanamuziki John Legend wamepata pigo baada ya kumpoteza mtoto wao waliyemtegemea kumpata.


Kupitia kwenye Instagram ya mke wa John Legend, Chrissy Teigen ameandika ujumbe mzito kuhusu kutokea kwa jambo hilo ambapo amesema kuwa sababu iliyosababisha mtoto wao kufariki ni baada yakuvuja damu nyingi kitendo ambacho kimefanya jambo hilo kutokea.


Hata hivyo amewashukuru wote ambao wamekuwa naye pamoja katika kipindi hiki kigumu akiwemo mwanamitindo maarufu duniani Kim Kardashian ambaye amekuwa naye pamoja mwanzo mpaka mwisho katika hali yake.



from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/3cOT18b
via IFTTT

from mapenzi kitandani https://ift.tt/2Smme0B

No comments:

Post a Comment