Kijana Awaua Wazazi WAKE Wawili Kisa Corona - Mapenz Wakubwa

Hot

Thursday, October 1, 2020

Kijana Awaua Wazazi WAKE Wawili Kisa Corona


 Raia wa China Huang Mouyang (22) anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za mauaji ya Wazazi wake wote wawili ambao inadaiwa amewaua baada ya kumzuia asirudi tena Uingereza wakati huu wa corona hadi hali itakapokuwa sawa.

"Huang alirudi likizo China akitokea Uingereza Wazazi wakamwambia atulie China kwanza asirudi Uingereza ukaibuka ugomvi akawaua Baba yake ambaye ni Mwanasheria na Mama yake ambaye ni Professor"- Polisi

"Baada ya kuwaua alitorokea Cambodia, amekamatwa na amerudishwa China ambako atafikishwa Mahakamani, miili ya Wazazi wake ilikutwa kwenye Bweni la Shule moja katika Mji wa Nanning Kusini mwa China na miili hiyo ilikaa pale kwa siku kadhaa kabla ya kugundulika, Watoto waache uhuni, huwezi kuua Wazazi kisa Uingereza"- Polisi



from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/2GkyAUp
via IFTTT

from mapenzi kitandani https://ift.tt/3n9Lsxu

No comments:

Post a Comment