Kiba Afunguka "Sina Shida na Diamond Platnumz Kila Mtu Afanye Kazi Kimpango Wake" - Mapenz Wakubwa

Hot

Thursday, October 1, 2020

Kiba Afunguka "Sina Shida na Diamond Platnumz Kila Mtu Afanye Kazi Kimpango Wake"

 


Staa wa Bongoflava anasema Hana Shida na Diamond ama Msanii yeyote ila anachotaka kila mtu afanye kazi kimpango wake.. Na wala asifatiliwe na Mtu

"Mimi Binafsi sina Shida na mtu Ningefurahi sana kila mtu afanye kazi zake kimpango wake tusifatiliane" Ali Kiba



from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/3cKkojy
via IFTTT

from mapenzi kitandani https://ift.tt/2HGHf45

No comments:

Post a Comment