Lamine Moro aongeza mkataba Yanga SC - Mapenz Wakubwa

Wednesday, September 30, 2020

Lamine Moro aongeza mkataba Yanga SC



Klabu ya Yanga SC kupitia kwa Mkurugenzi wa Uwekezaji wa GSM Eng Hersi Said ambaye amekuwa akihusika kufanya usajili wa wachezaji wa Yanga SC, amethibitisha kuwa beki wao wa kimataifa ya Ghana Lamine Moro ameongeza mkataba Yanga SC hadi 2023.

GSM ni sehemu ya wadhamini wa Yanga SC upande wa uuzaji na usambazaji wa jezi (kit Supplier) na wamekuwa wakiisaidia klabu hiyo kufanya usajili wa wachezaji na kulipa mishahara.



from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/2GiJhqG
via IFTTT

from mapenzi kitandani https://ift.tt/3n3wlFR

No comments:

Post a Comment