Kisanga Cha T-Bway na Mke Wake Nana 'Toka Ako na Ujauzito Walisema Kakimbia" - Mapenz Wakubwa

Hot

Wednesday, September 30, 2020

Kisanga Cha T-Bway na Mke Wake Nana 'Toka Ako na Ujauzito Walisema Kakimbia"

 

Add caption

"Sidhani kama nikawa nipo na mtoto halafu mama yake asiwepo au mpaka tupige picha ndiyo mjue kwamba tupo pamoja, kwenye mitandao kuna mambo mengi kuanzia alivyokuwa mjamzito walisema kakimbia mara kajificha hayo mambo yapo ila tupo pamoja yule ni baby mama wangu" amesema T Bway 360.



from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/3jgFd8F
via IFTTT

from mapenzi kitandani https://ift.tt/30mYcHg

No comments:

Post a Comment