ILIPOISHIA👉🏽 Sudi alimkuta rafiki yake hajitambui kitandani ikambidi aite gari la wagonjwa. ENDELEA👇🏽
"Kimempata nini tena?" Irene aliuliza huku akiwa anapuga hatua za haraka haraka kuelekea wodini alipolazwa Edwin.
"Mimi hata sielewi." Sudi alijibu kwa sauti ya chini huku nayeye akiwa anaongozana na Irene.
Taratibu waliusukuma mlango kisha wakaingia huku wakiwa na wasi wasi miyoni mwao. Taratibu walianza kukisogelea kitanda alicholazwa Edwin na kusimama pembeni yake huku mgonjwa mwenyewe akibaki kuwaangalia na kutabasamu.
"Mgonjwa unaendeleaje?" Irene aliuliza.
"Naendelea vizuri."
"Shida nini baba?"
"Hata sielewi maana nilijikuta naishiwa nguvu ghafla na kuhisi kizungu zungu."
"Au maji yameisha mwilini?"
"Itakuwa."
"Vipi babuu?" Sudi alimjulia hali rafiki yake.
"Safi babuu." Huku wakigonga tano.
"Wamesemaje?"
"Wamedai nipumzike kwanza baada ya muda watakuja kuangalia hali yangu kama nitakuwa sawa basi wataniruhusu." Edwin alijibu.
"Harafu unabahati babuu leo ilikuwa zamu yako kukesha hospitali sema nishaongea na mpanga rafiba amekubadilisha." Sudi alimpa habari njema rafiki yake.
Edwin alivyosikia hivyo akatabasamu kidogo kwa maana hawa vijana wanaosomea udaktari huaga hawapendi kupangwa zamu za usiku pale hospitali wakati wa mafunzo kwa vitendo.
"Litakuwa jambo jema hilo." Edwin alizungumza huku akimuangalia Irene.
"Basi ngoja niendee mara moja pesa kidogo kwa maana tuliondoka tu ghafla nikasahau waleti yangu chumbani."
"Ok poa babuu."
Sudi alitoka na kumuacha Edwin na Irene wakiangaliana kwa macho ya kualaumiana.
"Nini?" Irene alianzisha mazungumzo.
"Hamna kitu."
"Au ndio hasira za kuondoka zilikupanda mpaka ukashiwa nguvu?"
"Sizani." Huku akisogea ukutani na kumpa ishala Irene ya kukaa pembeni ya kitanda.
Taratibu Irene alikaa pemebeni ya kitanda huku mkono wa kushoto wa Edwin ukiwa mapajani mwake.
"Unajua kuna muda inabidi tukubali tu kwamba tulikosea mahali, na inatubidi turudi kuparekebisha." Huku akimpapasa mapaja mpenzi wake.
"Mmmh! Ndio umelifahamu leo hilo?" Huku akiushika ule mkono wa Edwin.
"Kumbe ukiuguaga unakuwa una akili sana?"
"Hahahaha! Umeanza utani wako?"
"Sio utani bali ndio ukweli huo, unazani ni wapi ulipokosea?"
Swali lilikuwa gumu sana kwake Edwin mpaka ikambidi atulie na abaki akimuangalia Irene bila kutia neno lolote.
"Ok! Nimekielewa na tufanye yameisha." Irene aliamua kuyamaliza huku akimkonyeza Edwin.
"Ok! Sawa." Alijibu huku akijua wazi ishala ile aliyopewa na Irene inamaanisha nini.
Wakiwa wanaendelea na soga zao za hapa na pale na Edwin akiendelea na ule mchezo wake wa kumpapasa Irene mapajani mara akaingia dokta wa zamu.
"Edwin?" Aliita huku akisimama mbele ya kitanda cha Edwin.
"Yes dokta!" Huku akikaa vizuri na Irene akisimama.
"Naona hali yako sio mbaya na ulikuwa mshtuko tu, nazani unahitajika ule sana matunda na unywe maji mengi vinginevyo sioni sababu yawewe kuendelea kukaa hapa." Huku akimpa karatasi na kadi yake ya bima.
"Nashukuru sana dokta." Edwin alishukuru huku akipokea vitu vyake.
"Unaweza ukaondoka, lakini utapitia pale dirishani ukachukue dawa nilizokuandikia Hapo."
"Sawa dokta." Huku akinyenyuka toka kitandani na kuanza kukusanya vitu vyake.
**********
Mr Kondo alirejea nyumbani kwake mapema na sio kawaida yake huku akionekana kuchafukwa roho vibaya.
"Shemeji vipi?" Farida aliuliza huku akiwa anatoka jikoni.
"Safi tu vipi?" Nayeye alirudisha swali.
"Nimeona kama hauko sawa vile."
"Hapana Niko sawa hata usijali." Huku akiregeza tai yake na kutupia begi lake mezani.
Farida alipojibiwa hakuna tatizo ikambidi ageuze kurudi jikoni na kumuacha Mr Kondo abaki akiufaidi mgongo na uzuri wa nyuma wa mwanadada Farida.
"Duh! Utazani Jana sikufanya nae chochote." Alijisemea moyoni huku akijiukiza aende au aachane nae.
Akili ikamwambia mfate huko huko jikoni huku jamaa wake akiwa ameshanyooka akimuongoza njia ya kupita japo alikuwa ndani ya suruali.
Taratibu aliingia jikoni na kumkuta Farida haba habari akiendelea na kazi yake ya mapishi. Mr kondo akamshika kiuno farida taratibu na kufanya dada wa watu ashtuke kwa hisia huku akimuangalia kwa jicho regevu la kimahaba.
"Shemeji unataka kufanya nini lakini?" Kwa sauti taamu ya kichokozi.
"Naomba turudie kidogo tulichokifanya Jana."
"Jamani kwani hukutosheka usiku kucha?"
"Unazani kwa mtoto mzuri kama wewe kuna kutosheka kimahaba?"
"Dada akitukuta?"
"Hawezi kurudi muda huu halafu ni kamoja tu ka afya mama." Huku akiwa anamfungua khanga yake na kumuacha akiwa na chupi tu.
"Shemeji jamani ntaunguza mboga." Farida alijitia kama hataki lakini moyoni hata yeye alijijuta akisisimuka mwili na kuhitaji kale kamchezo kaliko watoa Adam na Hawa kwenye bustani ya Eden.
Mr Kondo akaona isiwe tabu akazima na jiko lenyewe kisha akaanza kuingiza mkono wake kwenye chupi ya Farida na kuanza kumsugua sugua kitumbua chake taratibu na mkono wa kulia ukiwa uko kiunoni ukichezea chezea shanga.
"Shemeji jamani usiwe hivyo bhana mwenzako nitashindwa kufanya kazi." Farida aliongea huku akiwa ameyafumba macho yake na mikono yake ikiwa kifuani akijichezea chuchu zake ili kuongeza raha zaidi.
"Usijali mama tunamaliza sasa hivi." Huku akianza kuishusha ile chupi ya Farida mapajani.
Farida akaona bora amsaidie kuitoa ile chupi kwa maana tayali alikuwa kisha pagawa mtoto wa watu kwa kuchezewa chezewa sehemu zake za siri kisha akamgeukia shemeji yake na kuanza kunyonyana ulimi. Mambo yalianza kuwa mambo huku Mr Kondo akimyanyua Farida na kutokana nae hadi varandani huku madenda yakitaradadi na kusindikizwa kwa miguno ya kimahaba.
"Taratibu shemeji!"
"Usijali babby." Huku akimbwaga kwenye sofa na kumuweka kifo cha mende.
Haraka haraka akafungua zipu ya suruali yake na kumtoa mjomba mchumari wake aliyekuwa amesimama kisawa sawa kisha hakutaka kusubili wala kuuliza akamchomeka kunako hitajika.
"Aaaaaashiiiii.......siiiiiiiii." Farida alianza kulalamika.
"Ooohooo yes, pole baby!" Mr Kondo alimpoza Farida huku akiendelea kutwanga kwenye kinu na kumfanya Farida haangaike kwa utamu.
**********
"Sudi?" Jesca aliita.
"Yes!" Huku sudi akigeuka na kuangalia nyuma yake apate kujua ni nani aliyekuwa anamuita. Alipogundua ni Jesca pale pale nguvu zilimuishia na kujikuta akisimama kinyonge.
"Sijui anataka kuniambia nini?" Alijisemea moyoni.
"Kesi yetu nazani imeshakwisha." Huku akifungua mlango wa gari yake.
"Kivipi?"
"Wewe jua imekwisha, masuala ya kuniuliza kivipi hata siyataki."
"Ok sawa." Ilimbidi akubali tu japo hakuelewa imeishaje ishaje ile kesi yao.
"Unaelejea wapi?"
"Naelekea hospitali mara moja."
"Ok basi ingia kwa gari nikupe lift." Huku akiingia ndani ya gari na kumuacha Sudi akijishauli aingie au asepe. Lakini mwisho wake Sudi alikubali akajitoma ndani ya gari ya Jesca.
Safari ikaanza ya kuelekea hospitali huku haya Jesca akirejea nyumbani kwake baada ya muda wa kazi kuisha.
"Unawaza nini?" Jesca aliuliza.
"Nothing" huku macho yake yakiwa mbele.
"Good lakini bado kuna kitu nakihitaji toka kwako." Huku taratibu akimshika paja Sudi.
"Kitu gani?" Sudi aliuliza kwa mshangao na safari hii aliamua kumuangalia Jesca usoni.
"Ushakijua kitu ninachokitaka sema hutaki tu kunielewa." Huku akiendelea kumpampasa na huku macho yakiwa mbele asije akasababisha ajali.
"Hebu simamisha gari kwanza!" Sudi alimuomba Jesca.
"Kwanini?"
"Nimesema simamisha gari!!" Safari hii Sudi alifoka na gari ikasimama ghafla.
Sudi alishuka ndani ya gari kisha akaubamiza mlango kwa hasira.
"Unaweza ukaendekea na safari yako."
"Kwanini sasa?"
"Nimesema nenda na safari yako." Huku akitaka kuvuka barabara.
Haraka haraka Jesca alishuka ndani ya gari na kwenda kumdaka Sudi.
"Ok! Nimekuelewa." Huku akimrudisha ndani ya gari.
"Sitaki kukaa mbele." Huku akifungua mlango wa nyuma na kukaa.
Jesca alirudi ndani ya gari na safari ikaendelea.
**********
"Sikuwahi kuwaza kulala na yule kaka."
"Sasa ikawaje ukaja kulala nae?"
"Hata sielewi ujue, lakini ilikuwa kama miujiza kwa maana dah! Anamvuto fulani hivi ukiwa nae karibu lazima tu utapata hisia tofauti za kimapenzi juu yake."
Walikuwa ni wasichana wawili wakiwa wanazungumza ndani ya cafe moja ya chakula inayopatikana pale chuoni baada ya kumuona Irene akiingia na Edwin ili wapate chakula.
"Mmh! Lakini si waligombana wale?" Frola alimuuliza shoga yake.
"Utawaweza wale mapenzi yao" Cathe alijibu huku akinywa juisi yake kwa mrija na macho yakiwa kwa kina Edwin.
"Mmh! Nawewe shoga haujambo ase."
"Kwanini?"
"Mpaka umelala nae jamani?" Cathe alimuuliza frola.
"Namuachajw mvulana mzuri kama yule? Tena shoga asikwambie mtu katika wanaume wote niliowahi kucheza nao yule ni kiboko ase." Huku akitabasamu.
"Mmh! Mnayaweza ase Mimi wala siwezi hata kujaribu."
"Unasema tu ngoja ukae kwenye kumi na nane zake utaniambia." Huku frola akinyanyuka na kuchukua vitabu vyake vilivyokuwa mezani.
"Mbona haraka hivyo?"
"We mwenzangu muda wa kipindi juu ushafika tuwahi vitu mwenzangu."
"Umeambiwa ule sana matunda sambamba na maji mengi."
"Nalijua hilo." Huku Edwin akivuta kiti na kukaa.
"Ok ngoja nije basi" Irene alizungumza huku akielekea kaunta kuagiza chakula na vinywaji akimuacha Edwin akishangaa shangaa.
Wakati Edwin akiangaza angaza macho yake ndipo alipowaona wakina Frola wakitoka nje ya cafe, kwa bahati wakagonganisha macho yao na kila mmoja akajikuta akitabasamu na kupungiana mikono.
"Mmh! Huu umalaya sijui utatupeleka wapi?" Edwin alijisemea huku akishusha mkono wake baada ya kuhakikisha frola ametoka nje.
Akiwa anawaza huku akimsubilia Irene arejee na vyakula mara simu yake ikaita na alipoangalia aligundua ni namba ngeni.
"Yes hallow?"
"Habari yako" ilisikika sauti nzuri ya kirembo.
"Nzuri sijui naongea na nani?" Edwin aliuliza kwa sauti ya upole ili kusudi asije kuharibu mambo.
"Naitwa Lecho."
"Lecho? Wa wapi?"
"Hahahahahaha! Inamaana ushanisahau mara hii?"
"Kwa kweli sikukumbuki labda ungenikumbusha."
"Ok! Isiwe tabu sana, ntakutafuta weekend hii halafu nitakwambia nilipo ili kusudi uje unifahamu." Kisha akakata simu.
"Mmh! Lecho lecho hapana hata simjui." Huku akimuangalia ile namba bila kufahamu.
Taratibu aliiweka simu yake mfukoni na kujipa moyo atamfahamu hiyo weekend itakapofika.
"Vipi lover boy nimechelewa sana?" Huku akiweka sahani moja ya chipsi yai, na nyingine ya ugali na samaki aina ya sato.
"Majina gani sasa hayo tunaitana lakini?" Edwin aliuliza huku akionekana kuchukizwa.
"Haya basi yaieshe my handsome." Huku akiondoka tena.
"Unaenda wapi sasa?" Lakini hakujibiwa zaidi ya kupewa ishala ya kutulia.
Baada ya muda Irene alirejea na sahani nyingine za nyuma ya kuku iliyokaangwa vizuri sambamba na sahani iliyojaa mboga za majani.
"Naenda kanawe Mimi nishanawa." Huku akikaa kwenye kiti.
"Ok! Poa." Huku akinyanyuka.
Baada ya dakika moja kupita Edwin alirudi mezani na biashara ya kukishambulia chakula ilianza.
**********
Pale varandani ilikuwa ni varangati unaambiwa mito ilikuwa ishatupwa huku na huko na Mr Kondo na Farida wakionekana bado wakiperekeshana vibaya.
Kelele tu zilitawala huku wakizidi kuchombezana kwa miguno na maneno matamu ili mradi safari ya kuelekea kileleni isiwe ya kinyonge.
Wakati wote wakikaribia kufika kileleni huku wameng'ang'aniana misiri ya chuma na sumaku ghafla mlango ulifunguliwa.
ITAENDELEA.
from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/2TwHsdE
No comments:
Post a Comment