HADITHI: RED BIKINI SEHEMU YA 16. - Mapenz Wakubwa

Hot

Wednesday, March 11, 2020

HADITHI: RED BIKINI SEHEMU YA 16.





ILIPOISHIA👉🏽 Edwin alimuweka sawa mwanadada Cathe ili kazi iendelee. ENDELEA👇🏽

Taratibu Edwin alimnyanyua mguu Cathe kisha akaubana na mkono wake wa kulia kisha akawa kama anataka kumgawanisha miguu yake. Cathe alianza kuhisi balaa likimsogelea lakini kabla hajaamua kuongea ghafla mashine ikazama ndani kiulaini hadi akatulia kwanza kuisikilizia.

"Edwin.......!?" Aliishia kuita tu bila kuzungumza chochote.

Shughuli ilikuwa pevu kuliko maelezo, maana Edwin alionekana kukamia mechi kwa maana aliona mpinzani wake alikuwa ana yale mambo ya ujanja ujanja wa nje ya uwanja. Ilikuwa ni kubadili mikao tu kila unapochosha mkao mmoja.

"Edwin! Edwin! Edwin! Mama weeeeee.......! Aaaaasiiiiiii.....!" Cathe alianza sasa kuisikilizia ile tamu chungu ya muhogo wa jang'ombe huku akiwa ameinamishwa mbuzi kagoma kwenda na mikono ikiwa ukutani.
"Pole mpenzi, karibia nimalize." Edwin alizungumza huku akiwa anaishindilia mashine yake ukeni mwa Cathe.

Watu wakawa hewani baada ya dakika takribani thelathini, Edwin alimaliza huku akiwa anampapasa Cathe mwili wake na kumshika shika maziwa.

"Mmmh! Edwin uko vizuri sana."
"Kawaida tu" huku akimnyonya chuchu na kumuangalia usoni.
"Hapana sio kawaida bwana, mmh! Unajua kutumia siraha yako." Cathe alizidi kumwaga sifa kwa Edwin.

Walipomaliza kufanya yao Edwin alitoka na kwenda kuoga huku akimuacha Cathe akivaa nguo zake ili kusudi aende hostel kwao.

**********
"Mzee hupaswi kuwa hivyo, na hiyo tabia ndio iliyomfanya marehemu mama akae mbali na wewe." Edwin alionekana akizungumza na baba yake nyumbani kwao.
"Nafahamu hilo."
"Kama unafahamu hilo kwanini hutaki kubadilika mzee wangu?"

Swali lilikuwa gumu kwa mzee akabaki kujiinamia chini huku akijaribu kutafuta cha kumueleza mwanae.
"Sikiliza Edwin mwanangu." Huku akisimama na kwenda kumshika begani.
"Najua sikupata muda mwingi wa kuishi na wewe kipindi ulipokuwa mdogo na nimeanza kuishi nawewe pale mama yako alipofariki." Huku akisimama mbele ya mwanae.

Edwin alibaki akimtizama baba yake bila kumuelewa anacho zungumza.
"Mimi sijataka uniambie masuala ya historia za zamani, nimekuuliza kwanini hutaki kubadilika mzee wangu na hiyo tabia yako ya kutembea na vibinti vidogo vidogo?"
"Ndio unisikilize sasa Edwin!!" Baba aliamua kuongea kwa sauti ya ukali kidogo huku akimpa mgongo mwanae.

"Kuwa muelewa basi, na yote haya aliyeyataka ni mama yako japo hupaswi kumsema vibaya marehemu lakini mama yako alikuwa akinifanyia vitu sio kabisa kipindi naishi naye mpaka nikaamua niondoke nyumbani." Huku akiwa anatokwa machozi kuonesha ya kwamba moyo wake ulikumbuka mambo yaliyo muumiza zamani.
"Unasemaje?" Edwin alimuuliza baba yake.

"Huwezi kuelewa Edwin! Lakini ukweli ni kwamba mama yako alikuwa akininyanyasa kwa sababu ya kazi aliyokuwa nayo, nikaona bora nimterekeze kipindi akiwa ana ujauzito wako."

*_ILIVYOKUWA_*
"sikiliza nikueleze we mwanaume, nimechoka sasa kukulea kukuhangaikia, ona sasa kama hivi unaumwa na huna hata shilingi kumi."
"Lakini mke wangu.."
"Kelele bwana!" Huku akinyanyuka toka kitandani.
"Tafuta kazi baba sio kunitegemea mimi." Huku akivaa viatu vyake ili aende kazini.
"Lakini kipindi nakuoa kumbuka nilikuwa na kazi yangu, na mimi ndiye niliye kuhangaikia mpaka ukapata hiyo kazi yako." Huku akikaa vizuri kitandani.
"Haijalishi kwa hilo, ninachokueleza sasa ni suala la kutafuta kazi na sio kunihadithia hadithi za kale, hayo yalishapita." Huku akitoka nje.

Mr Dango alibaki amjiinamia kitandani huku akiwaza yale aliyoambiwa na mkewe.
"Dah! Dunia inabadilika sana, na siamini kabisa kama huyu ndiye mke wangu niliyemuoa kipindi kile." Dango alijisemea huku akiwa bado ametulia kitandani.

**********
Maisha yalikuwa magumu kwa upande wa Mr Dango tena mbaya zaidi alikuwa hana maelewano mazuri na mkewe. Ilikuwa usiku mnene akiwa peke yake ndani ya nyumba huku akiwa haelewi mkewe alikokwenda.
"Sasa sijui leo atakuja kusema nini?" Huku akiwa anakaa kwenye sofa.

Kwa upande wa pili Mrs Dango akiwa nyumbani kwa mwalimu mwenzake ambaye alikuwa ni kijana mdogo tu. Ukilinganisha umri wa kwake na umri wa huyo mvulana yani ilikuwa hailingani kabisa kwa maana Mrs Dango alikuwa ni mkubwa na alimzidi takribani miaka kama sita ama nane hivi.

Humo ndani kulikuwa ni sarakasi tu na michezo mingine, yani Mrs Dango alikunjwa kunjwa kama kambare mbichi anayetaka kupelekwa sokoni.

"Aaaahhhhaaaaaaaasiiiiiiiiii........!"
"Sorry babby." Yule kijana alimpoza Mrs Dango.
"Asiiiii....ai....nice one baby!" Huku akimkumbatia yule kijana na kumpiga denda na mtaimbo ukiwa ndani yake ukimkuna kuna kwa ndani.

Mrs Dango alibinuliwa na kuwekwa mkao mwingine uliomfanya ataharuki huku akilia kwa utamu aupatao. Yule kijana aliendelea kucheketua juu ya kifua cha Mrs Dango aliyekuwa ananung'unika kwa maraha na sauti yake kimahaba.

Huko nje kimvua kidogo dogo kikiwa kinanyunya na kunyanyasa mabati yaliyowafanya humo ndani wasisimke kwa kaubaridi kalikokuwa kamaeletwa na ile mvua.

ITAENDELEA.





from UHONDO KITANDANI https://ift.tt/2THLPmi

No comments:

Post a Comment