SMS ya kimahaba ya kumtumia mpenzi wako unayempenda - Mapenz Wakubwa

Tuesday, September 10, 2019

SMS ya kimahaba ya kumtumia mpenzi wako unayempenda

Image may contain: 1 person, sitting and indoor

Download app yetu mpya DOWNLOAD
Nimezunguka pande zote za Tanzania macho
nikiyaangaza
kumsaka mrembo
wakumkabidhi wangu moyo wenye upendo
ndani yake na kulila
TUNDA lake
kwa nafasi huku nikimpa mahaba ya dhati na sikuwahi kuhisi
kama wewe ndiye
ulie uteka moyo wangu.
nakupenda laaziz

No comments:

Post a Comment