Kwa Haya Anayonifanyia Shemeji Sijui Ananitaka Au Mawazo Yangu tu - Mapenz Wakubwa
  • Home
  • Privacy policy

Mapenz Wakubwa

  • Audio
  • Jifunze mapenz
  • Mahusiano
  • wakubwa

Hot

Select your language

Tags

IFTTT Jifunze mapenz Jifunze Mapenzi Kona ya Wakubwa Mapenz Mapenz Kwa wakubwa Mapenzi Mapenzi wakubwa Uwanja wa mapenz UWANJA WA MAPENZI

Tags

IFTTT (2) Jifunze mapenz (17) Jifunze Mapenzi (1876) Kona ya Wakubwa (71) Mapenz (1) Mapenz Kwa wakubwa (2827) Mapenzi (14278) Mapenzi wakubwa (206) Uwanja wa mapenz (284) UWANJA WA MAPENZI (3)

Featured Posts

Recent Posts

Monday, September 16, 2019

Home Unlabelled Kwa Haya Anayonifanyia Shemeji Sijui Ananitaka Au Mawazo Yangu tu

Kwa Haya Anayonifanyia Shemeji Sijui Ananitaka Au Mawazo Yangu tu

Sportswidely September 16, 2019
 

Download app yetu mpya DOWNLOAD

Wadau nipo nyumbani kwa takribani mwezi sasa baada ya kumaliza mkataba wangu na kampuni flani.sasa hapa nyumbani ninaishi na wife na kidi wangu wa miaka 3..na nimekuta wife kamleta mdogo wake wa kike ambaye amemaliza chuo mwaka jana anasubiria ajira,sasa wadau wife wangu ni mfanyakazi so mida mwingi anashinda job,mimi nipo tu home na shemeji yangu,kid anapelekwa shule asubuh mpaka jioni.shem huyu wadau ni mrembo sana ana figure matata sana na ni mzuri kwa kweli..
Yani mitihani ninayoipata ni mikubwa sana..mana nguo anazo vaa zinaonenya umbo lake namba 8 lilivyo,juzi asubuh nilikuwa nimelala akagonga chumbani kwangu anatafuta kitu wakati kavaa khanga tu.jamani naombeni ushauri wenu nifanyaje?maana uzalendo unaelekea kunishinda asee.maana sasa imefika wakati naliota umbo lake na uzuri wake nimechanganyikiwa.naombeni ushauri weni wadau.
  • Tweet
  • Share
  • Pin it
  • Comment
Author Image

About Sportswidely
Templatesyard is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates which are professionally designed and perfectlly seo optimized to deliver best result for your blog.

By Sportswidely at September 16, 2019
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Social

  • Follow on Twitter
  • Like on Facebook
  • Subscribe on Youtube
  • Follow on Instagram

Recent

Popular

  •  Watoto wa Manara, Baba Levo watoboa matokeo Kidato cha Nne
    Watoto wa Manara, Baba Levo watoboa matokeo Kidato cha Nne
      Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mtihani wa Taifa wa kidato cha nne uliofanyika Novemba 2023, yakionyesha kuo...
  • Mali Waichapa South Africa Goli Mbili, Diarra Aondoka na Clean Sheet Langoni
    Mali Waichapa South Africa Goli Mbili, Diarra Aondoka na Clean Sheet Langoni
    AFCON | FULLTIME MALI 🇲🇱 2-0 SOUTH AFRICA 🇿🇦 ⚽️ 60 Traore ⚽️ 66 Sinayoko Dakika 90 zimemalizika kwa timu ya Taifa ya Mali kupata...
  •  Mwakinyo: Mpinzani Wangu Asipotokea Nitazichapa na Promota
    Mwakinyo: Mpinzani Wangu Asipotokea Nitazichapa na Promota
    Bondia namba moja Tanzania, amewatoa shaka mashabiki wa ngumi kuwa pambano lake litapigwa na kuahidi kuwaonyesha uwezo na kutoa burudani....
  • Kocha Benchikha wa Simba Kwenda Timu ya Taifa ya Algeria
    Kocha Benchikha wa Simba Kwenda Timu ya Taifa ya Algeria
    Kocha wa Simba SC Abdelhak Benchikha ni moja ya makocha wanaopewa nafasi ya kwenda kukinoa kikosi cha timu ya taifa ya Algeria. Kocha ...
  • Ugonjwa wa Red Eyes Waikumba Familia Nzima ya Rapper Rosa Ree, Aweka Video Hii
    Ugonjwa wa Red Eyes Waikumba Familia Nzima ya Rapper Rosa Ree, Aweka Video Hii
      Ugonjwa wa Red Eyes waikumba familia nzima ya Rapper Rosa Ree, Aweka Video Hii VIDEO: from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/vwMIuBz ...

Comments

Comments


Archive

Tags

IFTTT Jifunze mapenz Jifunze Mapenzi Kona ya Wakubwa Mapenz Mapenz Kwa wakubwa Mapenzi Mapenzi wakubwa Uwanja wa mapenz UWANJA WA MAPENZI
Crafted with by TemplatesYard