WASICHANA WA LEO - Mapenz Wakubwa

Hot

Thursday, August 8, 2019

WASICHANA WA LEO

Image result for majina ya wasichana na tabia zao#WASICHANA_WA_LEO:
Jamaa yupo ndani ya Range rover yake mpya na msichana ambaye ni mpenzi wake.
#Jamaa: kuna siri flani nimeitunza moyoni mwangu kwa muda mrefu na nikaona kama nitakuambia lazima utaniacha.
#Msichana: siri gani hiyo mpenzi wangu?
#Jamaaa: nimeoa.
#Msichanaa: Hɛɛɛɛɛɛɛɛ! We umenishtua sana,mm nilifikiri hili gari sio lako! 

download app yetu mpya
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.ufundi.wa.mapenzi.ripgqcumuksiso_pow

No comments:

Post a Comment