Kajala Masanja Aendelea Kuonesha Support Kwa Mkwe Wake Rayvanny - Mapenz Wakubwa

Wednesday, September 22, 2021

Kajala Masanja Aendelea Kuonesha Support Kwa Mkwe Wake Rayvanny


Mama mzazi wa mpenzi wa Rayvanny, Kajala, ameendelea kuonesha support kubwa kwa mkwe wake, Rayvanny, mara baada ya Rayvanny Kumtambulisha macvoice, msanii wa kwanza katika lebo yake, Next Level Music.

Kajala amempost macvoice na kusindikiza na caption "All the best @macvoice_tz 24/09/202 🔥 NLM FIRST BORN @rayvanny @nextlevelmusic_tz"

Hii ni support kubwa sana na inaonesha kajala amebariki mahusiano ya paula na Rayvanny.

VIPI KWA UPANDE WAKO, MAMA AU BABA MKWE WAKO ANAKUSUPPORT KWENYE MISHE ZAKO? DONDOSHA COMMENT YAKO.




from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/3u38lXy
via IFTTT

from mapenzi kitandani https://ift.tt/3zBdV4d

No comments:

Post a Comment