Diamond Platnumz Ametajwa Katika vipengele 7 Akifuatiwa na Rosa Ree Vipengele 3 Tuzo za Afrima - Mapenz Wakubwa

Thursday, September 23, 2021

Diamond Platnumz Ametajwa Katika vipengele 7 Akifuatiwa na Rosa Ree Vipengele 3 Tuzo za Afrima





Msanii wa Tanzania , Diamond Platnumz ametajwa vipengele vingi katika tuzo za Afrima zitazofanyika Novemba mwaka huu nchini Nigeria.
Orodha ya wateule wa tuzo hizo imeanikwa jana Jumatano Septemba 22,2021, ambapo wasanii wengi kutoka Tanzania wakiingia katika vipengele 13, huku Diamond akijitokeza kwenye vipengele vingi zaidi ya wengine Akifuatiwa na Rosa Ree Vipengele Vitatu

Kwa upande wa Diamond wimbo wa Waah! ndio umembeba, kwani licha ya kumuingiza katika vipengele vinne pia umetajwa katika vipengele saba vikiwemo wimbo bora wa mwaka, video bora ya mwaka, wimbo unaochezeka na wimbo bora wa kushirikiana.

Pia Waah! Umeingia katika vipengele vya msanii bora wa mwaka na msanii bora wa kiume Afrika Mashariki.



from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/2XMvl1g
via IFTTT

from mapenzi kitandani https://ift.tt/3nZz0TW

No comments:

Post a Comment