Mfalme al-Sabah wa Kuwait afariki akiwa na miaka 91 - Mapenz Wakubwa

Hot

Wednesday, September 30, 2020

Mfalme al-Sabah wa Kuwait afariki akiwa na miaka 91



Kifo chake kinaacha pengo kwa umoja wa nchi za kiarabu ya Ghuba ya Uajemi inayoshirikiana na chi za Magharibi, kuwa bila ya mmoja wa viongozi wake wazee wenye uzoefu wakati washirika wa kikanda pamoja na Qatar, Saudi Arabia na Misri wamegawanyika na uhasama ambao mfalme Sabah alijaribu kuupatanisha



from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/348PTjz
via IFTTT

from mapenzi kitandani https://ift.tt/3kSEqv8

No comments:

Post a Comment